Harry Kane akishangilia kishujaa baada ya kuifungia bao la ushindi Tottenham Hotspur dakika ya 89 ikiilaza 2-1 PSV katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Wembley mjini London. Kane pia aliifungia bao la kusawazisha Spurs dakika ya 78, baada ya Luuk de Jong kutangulia kuifungia PSV dakika ya pili tu kwa kichwa akimalizia kona ya Gaston Pereiro PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment