Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Son Heung-min akimtoka beki wa Chelsea, David Luiz jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Wembley. Spurs ilishinda 3-1 mabao yake yakifungwa na Kipindi cha pili, Delle Alli dakika ya nane, Harry Kane dakika ya 16 na Heung-Min mwenyewe dakika ya 54, wakati la Chelsea lilifungwa na Olivier Giroud dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment