Leroy Sane (kulia) akishangilia na Raheem Sterling baada ya wote kuifungia Manchester City katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, West Ham United leo Uwanja wa London kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Sane alifunga mabao mawili dakika za 34 na 94 na ushie na Sterling dakika ya 19, wakati bao lingine limefungwa na David Silva dakika ya 11 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment