Beki wa Juventus, Leonardo Bonucci (katikati) akiruka na mguu juu kuwania mpira dhidi ya wachezaji wa Marekani katika mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Luminus Arena mjini Genk. Italia ilishinda 1-0 bao pekee la Matteo Politano dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment