Mkongwe Wayne Rooney akiwa na wanawe wanne, Cass, Klay, Kai na Kit Uwanja wa Wembley usiku wa jana baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Marekani ambao alirejeshwa kutoka kwenye kustaafu na kuichezea tena Three Lions kwa mara ya mwisho ikishinda 3-0, hiyo ikiwa mechi yake ya 120 kuichezea nchi yake PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment