Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Atletico Madrid dakika ya 80 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Borussia Dortmund usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid. Bao la kwanza lilifungwa na Saul Niguez dakika ya 33 akimalizia pasi ya Filipe Luis PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment