Leroy Sane akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Ujerumani dakika ya nane katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Urusi usiku wa jana kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Red Bull Arena mjini Leipzig. Mabao mengine ya Ujerumani yalifungwa na Niklas Sule dakika ya 25 na Serge Gnabry dakika ya 40 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment