Delle Alli (kulia) akishangilia na na mchezaji mwenzake, Harry Kane (kushoto) baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la pili dakika ya 18 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Newcastle United Uwanja wa St James Park leo. Bao la kwanza la Spurs limefungwa na Jan Vertonghen dakika ya nane wakati la Newcastle limefungwa na Joselu dakika ya 11 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment