Mshambuliaji Lionel Messi akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 64 na 90 na ushei katika ushindi wa 3-0 wa Barcelona dhidi ya Alaves jana Uwanja wa Camp Nou. Philippe Coutinho alifunga bao la pili dakika ya 83, Messi akiweka rekodi ya kuifungia bao la 6000 Barca katika Ligi baada ya mwaka 2009 kuifungia la 5000 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment