Wachezaji wa Chelsea FC wakimpongeza mwenzao, N'Golo Kante baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 34 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Huddersfield Town kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa The John Smith, Huddersfield, West Yorkshire. Mabao mengine ya timu ya Maurizio Sarri yamefungwa na Jorginho kwa penalti dakika ya 45 baada ya Marcos Alonso kuangushwa kwenye boksi na la tatu Pedro dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment