Karim Benzema akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 52 kwa penalti na 80 akimalizia pasi ya Gareth Bale katika ushindi wa 4-1 wa Real Madrid jana dhidi ya Girona kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Manispaa ya Montilivi mjini Girona. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Sergio Ramos kwa penalti dakika ya 39 na Bale dakika ya 59, wakati la Girona limefungwa na Borja García dakika ya 16 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment