Glenn Murray akiifungia bao la kwanza Brighton & Hove Albion dakika ya 35 ikishinda 3-2 dhidi ya Manchester United leo Uwanja wa AMEX katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Brighton yamefungwa na Shane Duffy dakika ya 27 na Pascal Gross dakika ya 44, wakati ya Man United yamefungwa na Romelu Lukaku dakika ya 34 na Paul Pogba kwa penalti dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment