DEWJI ALIVYOISHUHUDIA SIMBA YAKE IKIIKANDAMIZA AZAM FC 1-0 TAIFA
Kaimu Makamu wa Rais wa klabu ya Simba, Iddi Kajuna (kushoto) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya klabu, Kassim Dewji wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumatano baina ya timu yao na Azam FC Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0
0 comments:
Post a Comment