Marco Asensio akipongezwa na wachezaji wenzake Cristiano Ronaldo (katikati), Gareth Bale (kushoto) na Sergio Ramos (kulia) usiku wa jana baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza kati ya mawili katika ushindi wa 5-3 kwenye mchezo wa La Liga dhidi ya wenyeji, Real Betis Uwanja wa Benito Villamarín mjini Sevilla. Asensio alifunga dakika za 11 na 59, wakati mabao mengine yalifungwa na Sergio Ramos dakika ya 50, Cristiano Ronaldo dakika ya 65 na Karim Benzema dakika ya 90 na ushei na ya Betis yalifungwa na Aissa Mandi dakika ya 33, Jose Ignacio Fernandez Iglesias 'Nacho' aliyejifunga dakika ya 37 na Sergio Leon dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Russia is a threat to the UK and our sons and daughters must be ready to
fight, armed forces chief warns
-
Chief of defence staff Richard Knighton warned the situation is ‘more
dangerous than I have known during my career’
34 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment