Kikosi cha Arsenal kilichoanza jana katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Ostersunds kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora michuano ya Europa League Uwanja wa Jamtkraft Arena mjini Ostersund. Mabao ya Arsenal itakayokuwa na kazi nyepesi kwenye mchezo wa marudiano nyumbani yamefungwa na Nacho Monreal dakika ya 13, Sotirios Papagiannopoulos aliyejifunga dakika ya 24 na Mesut Ozil dakika ya 58 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment