Mshambuliaji Mreno Cristiano Ronaldo (kulia) akishangilia na mchezaji mwenzake, Gareth Bale baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 44 na 61 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Deportivo Alaves leo kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Gareth Bale dakika ya 46 na Karim Benzema dakika ya 89 kwa penalti baada ya yeye mwenyewe kuangushwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
ASHES BREAKFAST: Harry Brook makes a costly error, Australia star goes for
more than £2m as record IPL signing and worst shot of the series
-
OLIVER HOLT IN ADELAIDE: England appear to be heading towards their second
best day of the Ashes so far. Australia suffered a blow before the start of
play.
12 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment