Kevin Gameiro akishangilia baada ya kuifungia Atletico Madrid bao pekee la ushindi dakika ya saba tu ikiwalaza Copenhagen 1-0 katika mchezo wa marudiano hatua ya 32 Bora UEFA Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 5-1 baada ya kushinda 4-1 kwenye mchezo wa kwanza nchini Denmark PICHA ZAIDI GONGA HAPA
All you need to know about Sports Personality of the Year 2025
-
BBC Sport has everything you need to know about BBC Sport's Personality of
The Year 2025 and how to vote.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment