Mshambuliaji Mbeligiji, Christian Benteke (kushoto) akiwasanifu mashabiki wa timu yake ya zamani, Liverpool baada ya kuifungia Crystal Palace mabao yote mawili dakika za 42 na 74 katika ushindi wa 2-1 ugenini Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Bao pekee la Liverpool lilifungwa na Mbrazil, Philippe Coutinho dakika ya 24 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment