Refa David Fields kutoka Marekani akimuondoa bondia Anthony Joshua (kushoto) huku mpinzani wake, Wladimir Klitschko akijikokota kuinuka baada ya kuanguka usiku wa jana Uwanja wa Wembley, London katika pambano la uzito wa juu. Joshua alishinda kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya 11 na kutwaa mataji ya IBF, WBA na IBO na ndiye anakuwa bingwa mpya asiyepingika wa uzito wa juu duniani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment