Mcheza chipukizi wa Brazil, Gabriel Jesus (kushoto) baada ya kuwasili mjini Manchester jana, miezi mitatu tangu akubali kuhamia klabu ya Manchester City ya England kutoka Palmeiras ya kwao. Mshambuliaji huyo aliyesaini Man City mwanzoni mwa msimu, kwa wiki atakuwa mjini humo kufahamiana na wachezaji wenzake wapya kisha ataondoka kabla ya kurejea Januari kuanza kazi rasmi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
-



.png)
0 comments:
Post a Comment