ANGALIA VIDEO SAMATTA ALIVYOIFUNGIA BAO LA USHINDI MAZEMBE DHIDI WA WAALGERIA
Beki wa USM Alger akimuangusha mshambuliaji Mtanzania wa TP Mazembe katika fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika usiku wa jana Uwanja wa Omar Hamadi de Bologhine mjini Algiers. Pigo hilo lilisababisha penalti na Samatta akaifungia bao la pili Mazembe ikishinda 2-1. Angalia video chini.
0 comments:
Post a Comment