MBWA WA POLISI AKISAKA 'UPUPU' KWENYE MIZIGO YA WAALGERIA
Mbwa maalum wa Polisi wa kung'amua vitu haramu akikagua mizigo ya msafara wa timu ya taifa ya Algeria wakati unaingia Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo dhidi ya wenyeji, Tanzania kufuzu Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi. Mchezoo huo wa kwanza wa Raundi ya Pili utaanza Saa 10:00 jioni ya leo uwanjani hapo kabla ya timu hizo kurudiana Jumanne mjini Algiers.
0 comments:
Post a Comment