ULIMWENGU ANAPOPOZA KOO KWA MAJI YA UHAI, HUKU AKIWAPIGIA HESABU WAARABU
Mshambuliaji wa Tanzania, Thomas Ulimwengu akinywa maji maarufu nchini, Uhai yanayotengenezwa na kampuni ya Bakhresa Group Limited, baaada ya mapumziko mafupi katika mazoezi ya jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam huku akionekana kutafakari jambo kuelekea mchezo dhidi ya Algeria kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment