Beki Mbrazil, David Luiz (kulia) akimkanyaga mchezaji wa Argentina, Lucas Biglia jana katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia Amerika Kusini alfajiri ya leo. Luiz alitolewa kwa kadi nyekundu na timu hizo zimetoka sare ya 1-1, bao la wenyeji Argentina likifungwa na Ezequiel Lavezzi wakati la Brazil limefungwa na Lucas Lima PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment