Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez (kushoto) akiichezea timu yake ya taifa, Chile jana ikitoa sare ya 1-1 na Colombia katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2018 Urusi kwa bara la Amerika Kusini mjini Santiago. Bao la Chile lilifungwa na Arturo Vidal wakati la Colombia lilifungwa na James Rodriguez PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment