Wabrazil Philippe Coutinho na Roberto Firmino wakishangilia baada ya wote kufunga mabao katika ushindi wa 4-1 wa Liverpool dhidi ya wenyeji Manchester City Uwanja wa Etihad usiku huu. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Eliaquim Mangala aliyejifunga na Martin Skrtel, wakati bao la kufutia machozi la City limefungwa na Sergio Aguero PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment