Kipa wa England, Joe Hart akishuhudia mpira ukimpita kwenda nyavuni baada ya kupigwa na Juan Mata (kulia) kuifungia Hispania bao la kwanza katika ushindi wa 2-0 usiku wa jana katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa mjini Alicante. Bao lingine la Hispania lilifungwa na Santi Cazorla PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment