HUDUMA BORA IIKUWA SEHEMU YA SIRI MAFANIKIO YA ‘TP LINDANDA'
Wachezaji wa Pamba FC ya Mwanza ‘TP Lindanda’ wakiwa Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam mwaka 1983 baada ya kuwasili kwa mchezo wa Ligi dhidi ya Yanga SC. Ilikuwa ni kawaida Pamba kusafiri kwa ndege kwa mechi za mikoa ya mbali na huduma bora ilikuwa sehemu kubwa ya siri ya mafanikio yake enzi hizo.
0 comments:
Post a Comment