• HABARI MPYA

  Monday, July 16, 2018

  RONALDO AWASILI TURIN KUKAMILISHA UHAMISHO WAKE JUVE

  Cristiano Ronaldo akusalimia umati wa mashabiki wa Juventus wakati anawasili Uwanja wa Allianz mjini Turin, Italia kwa ajili ya vipimo vya afya na kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 100 kutoka Real Madrid ya Hispania alikodumu kwa miaka tisa baada ya kuwasili akitokea Manchester United ya England 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AWASILI TURIN KUKAMILISHA UHAMISHO WAKE JUVE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top