Mshambuliaji wa Simba, Frederick Blagnon kutoka Ivory Coast (kulia) akiruka kupiga mpira kichwa dhidi ya mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Jaffar Salum katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimiliki mpira mbele ya Jaffar Salum wa Mtibwa Sugar
Kiungo wa Mtibwa Sugar, Mohammed Issa (kushoto) akimiliki mpira mbele ya kiungo aliye majaribioni Simba, James Kotei
Beki wa Simba, Method Mwanjali (kulia) akimdhibiti Jaffar Salum wa Mtibwa Sugar
Kipa wa Mtibwa Sugar, Said Mohammed (kulia) akirukia mpira kichwani mwa kiungo wa Simba, Mussa Ndusha
Kiungo wa Mtibwa Sugar, Henry Joseph (kulia) akipitisha pasi mbele ya kiungo wa Simba, Shizza Kichuya
Kiungo wa Simba, Mussa Ndusha (kulia) akikimbilia mpira dhidi ya kiungo wa Mtibwa, Kelvin Friday
Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Stahmili Mbonde akimiliki mpira mbele ya beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala'
Kikosi ch Simba SC jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
Kikosi ch Mtibwa Sugar jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment