• HABARI MPYA

  Sunday, December 18, 2016

  RIFFAT KHAMIS WA NDANDA APEWA 'MPUNGA' WAKE WA OKTOBA

  Mshmbuliaji wa Ndanda FC, Riffat Khamis wa pili kushoto akikabidhiwa mfano wa hundi ya Sh. Milioni 1 na wadhamini wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kampuni ya Vodacom Tanzania baada ya kuwa Mchezaji Bora wa ligi hiyo kwa mwezi Oktoba. Riffat alipewa tuzo hiyo kabla ya mchezo dhidi ya Simba leo Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara, ambao Ndanda walifungwa 2-0 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RIFFAT KHAMIS WA NDANDA APEWA 'MPUNGA' WAKE WA OKTOBA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top