• HABARI MPYA

  Monday, December 12, 2016

  HAWA MTIBWA HAWA, SI WATU WAZURI KABISA!

  Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Kassim Dewji (kushoto) akiushuhudia kwa makini mchezo wa kirafiki dhidi ya Mtibwa Sugar leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Wengine ni wadau wakubwa wa klabu hiyo, Crescentius Magori (kulia) na Richard Ndassa (katikati). Simba ilifungwa 2-1 leo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAWA MTIBWA HAWA, SI WATU WAZURI KABISA! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top