• HABARI MPYA

    Sunday, March 15, 2015

    SIMBA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Mfungaji wa bao pekee la Simba SC katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, mchezo wa Ligi Kuu ya Vidacom Tanzania Bara akimuacha chini beki wa Mtibwa, Andrew Chikupe
    Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Mussa Hassan Mgosi 'akimnyanyasa' mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi
    Nahodha wa Mtibwa Sugar, Shaaban Nditi kulia akimdhibiti beki wa Simba SC, Hassan Kessy
    Mshambuliaji wa Simba SC, Simon Sserunkuma akipasua katikati ya wachezaji wa Mtibwa Sugar
    Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimtoka kiungo wa Mtibwa, Ally Sharrif 
    Winga wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' akiwatoka wachezaji wa Mtibwa

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top