• HABARI MPYA

  Monday, March 30, 2015

  'MCHEZAJI MPYA' ARSENAL AIFUNGIA UJERUMANI IKISHINDA 2-0 KUFUZU EURO

  Marco Reus (right) fires home to give Germany the lead in their Euro 2016 qualifying match with Georgia
  Marco Reus anayewaniwa na Arsenal (kulia) akifumua shuti kuifungia bao la kwanza Ujerumani katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Georgia kufuzu Euro 2016. Bao lingine la Ujerumani ikiwa ugenini leo, limefungwa na mkongwe Thomas Muller.

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3017045/Georgia-0-2-Germany-Marco-Reus-inspires-Euro-2016-group-D-qualifier.html#ixzz3VoQPvMmm 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: 'MCHEZAJI MPYA' ARSENAL AIFUNGIA UJERUMANI IKISHINDA 2-0 KUFUZU EURO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top