• HABARI MPYA

  Saturday, March 28, 2015

  MADA MAUGO 'ALIVYOMKABIDHI KITANDA' KASEBA JANA DIAMOND

  Bondia Japhet Kaseba akiwa chini baada ya kukutana ngumi ya mkono wa kushoto ya Mada Maugo usiku wa jana ukumbi wa Diamond Jubilee katika pambano la ubingwa wa Taifa, uzito wa Light Heavy. Maugo alishinda kwa Knockou (KO) raundi ya nane pambano la raundi 10.
  Kaseba kushoto akizipiga na Maugo kabla ya kusalimu amri raundi ya nane

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MADA MAUGO 'ALIVYOMKABIDHI KITANDA' KASEBA JANA DIAMOND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top