• HABARI MPYA

  Friday, March 27, 2015

  SANCHEZ ASHINDWA KUIEPUSHA CHILE NA KICHAPO CHA IRAN, WACHARAZWA 2-0

  Iranian players celebrate Javad Nekounam's (No 6) goal during the friendly match in St Polten, Austria
  Wachezaji wa Iran wakishangilia baada ya mwenzao Javad Nekounam (Namba 6) kufunga katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Chile Uwanja wa St Polten nchini Austria. Iran ilishinda 2-0, bao lake lingine likifungwa na Vahid Amiri.
  Alexis Sanchez wa Arsenal aliingia kipindi cha pili kutoka benchi, lakini akashindwa kuinusuru Chile na kipigo cha 2-0.

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3013597/Iran-2-0-Chile-Alexis-Sanchez-fails-spark-comeback-Queiroz-masterminds-shock.html#ixzz3VZfMCBjc 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANCHEZ ASHINDWA KUIEPUSHA CHILE NA KICHAPO CHA IRAN, WACHARAZWA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top