![]() |
| Pumzikeni kwa amani; Baraka Karashani (kushoto) na Inno Munyuku (kulia) wameaga dunia |
Hilo ni pigo kwa waandishi wa habari za michezo na wanamichezo kwa ujumla, maana wote wameondoka wakati bado mchango wao ukihitajika sana. Taarifa zaidi tutaendelea kupeana kwa njia mbalimbali. Mungu aziweke roho za marehemu mahali pema peponi. Amina.
Nawasilisha, Amir Mhando, Katibu Mkuu TASWA, 19/11/2014,"



.png)
0 comments:
Post a Comment