Nahodha wa Real Madrid, Sergio Ramos na Marcelo wakiinua Kombe la Bernabeu baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya AC Milan usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Karim Benzema dakika ya pili, Gareth Bale dakika ya 45 na ushei na Borja Mayoral dakika ya 90 na ushei, wakati la Milan limefungwa na Gonzalo Higuain dakika ya nne PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment