Emil Forsberg akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Sweden dakika ya 66 ikiilaza 1-0 Uswisi katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia leo Uwanja wa Saint-Petersburg na sasa itakutana na mshindi kati ya Colombia na England kwenyw Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
-



.png)
0 comments:
Post a Comment