Mshambuliaji mpya wa Simba SC, Marcel Boniventura Kaheza aliyesajiliwa kutoka Maji Maji ya Songea akiwa mazoezini na wenzake leo Uwanja wa Rift Valley Sports Club mjini Nakuru, Kenya kujiandaa na michuano ya SportPesa Super Cup inayotarajiwa kuanza Jumapili
Beki wa Simba SC, Yussuf Mlipili anayemaliza msimu wa kwanza tangu asajiliwe kutoka Toto Africans akiwa mazoezini leo
Mshambuliaji Mrundi wa Yanga, Amissi Tambwe akiwa mazoezini leo na timu yake viwanja vya Michezo vya Nakuru
Kiungo Mzimbabwe wa Yanga, Thabani Kamsuoko akinyoosha msuli leo viwanja vya Michezo vya Nakuru, maarufu kama Nakuru Athletics
Wachezaji wa JKU ya Zanzibar wakijifua leo viwanja vya Michezo vya Nakuru, maarufu kama Nakuru Athletics
Kipa wa JKu, akiwa mazoezini leo viwanja vya Michezo vya Nakuru








.png)
0 comments:
Post a Comment