Wachezaji wa Everton wakimpongeza Gylfi Sigurdsson baada ya kufunga bao la pili dakika ya 64 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Swansea City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Goodison Park mjini Liverpool. Mabao mengine ya Everton yalifungwa na Dominic Calvert-Lewin dakika ya 45 na ushei na Wayne Rooney kwa penalti dakika ya 73, wakati la Swansea lilifungwa na Leroy Fer dakika ya 35 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment