Mshambuliaji Danny Welbeck akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee la ushindi dakika ya 42 Uwanja wa Emirates mjini London ikiwalaza 1-0 West Ham United katika Robo Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment