Mshambuliaji Alvaro Morata akiwa ameweka mpira tumboni ndani ya jezi kushangilia baada ya kuifungia bao la pili Chelsea dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-1 dhidi ya AFC Bournemouth kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup. Morata alifanya hivyo kwa sababu mkewe ni mja mzito, lakini akaonyeshwa kadi ya njano na ataukosa mchezo ujao dhidi ya Everton PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment