Willian akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la nne kwa penalti dakika ya 73 baada ya yeye mwenyewe kuangushwa na Geoff Cameron katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Stoke City leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao mengine ya The Blues yamefungwa na Antonio Rudiger dakika ya tatu, Danny Drinkwater dakika ya tisa, Pedro dakika ya 23 na Davide Zappacosta dakika ya 88 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
ASHES BREAKFAST: Ollie Pope plumbs new depths in England's dismal batting
response, more Snicko embarrassment and Nathan Lyon overtakes Aussie great
-
OLIVER HOLT IN ADELAIDE: England's hopes of regaining the Ashes are hanging
by the most frayed of threads after another dismal performance.
38 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment