Kiungo Willian Borges da Silva akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 13 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya AFC Bournemouth usiku wa Jumatano Uwanja wa Stamford Bridge, London kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup. Bao la pili la Chelsea lilifungwa na Álvaro Morata dakika ya 90 na ushei, baada ya kiungo Dan Gosling kuisawazishia Bournemouth dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment