Beki wa kushoto, Layvin Kurzawa akishangilia baada ya kuifungia PSG mabao matatu peke yake dakika za 52, 72 na 78 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Anderlecht usiku wa jana Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris, Mabao mengine ya PSG yalifungwa na Marco Verratti dakika ya 30 na Neymar Junior dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment