Kikosi cha timu tishio ya Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (sasa Ligi Kuu) Pamba FC ya Mwanza kikiwa Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza mwaka 1992. Kutoka kushoto waliosimama ni Madata Lubigisa, Ibrahim Magongo, Fumo Felician, David Mwakalebela, Rajab Risasi, Makwa Selemani, Beya Simba, Ali Bushiri, Hussein Marsha na Paul Rwechungula. Waliopiga magoti Hamza Mponda, Juma Amir, Rashid Abdallah, George Masatu, Abdallah Bori, Msonga Rashid na Khalfan Ngassa.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment