Mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang akiifungia timu yake dakika ya 43 katika sare ya 2-2 na Real Madrid kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Signal Iduna Park. Bao lingine la Dortmund limefungwa ma Andre Schurrle dakika ya 87, wakati ya Real yamefungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 17 na Raphael Varane dakika ya 68 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
A 'novice' who can 'punch a bit' - how good is Paul?
-
BBC Sport takes a look inside Jake Paul’s camp and assesses his boxing
ability before Friday's fight with Anthony Joshua in Miami.
16 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment