Mario Balotelli akiifungia Nice bao la pili dakika ya 30 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Monaco kwenye Ligi ya Ufaransa Jumatano Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice. Balotelli alifunga pia bao la tatu dakika ya 68, wakati mebao mengine yalifungwa na Paul Baysse NA Alassane Plea PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment