Roberto Firmino akimpongeza Philippe Coutinho (kushoto) baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 50 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Derby County kwenye mchezo wa Kombe la Ligi England usiku huu Uwanja wa iPro. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Ragnar Klavan dakika ya 24 na Divock Origi dakika ya 54 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment